DISQUS SHORTNAME

Malick Bandawe Akiri KumtoleaMahari Rose Ndauka, Ndoa YaoHivi Karibuni.

Wiki iliyopita tuliweka habari ya Rose Ndauka kutolewa mahari na msanii mwenzake Malick Bandawe ambaye wamekuwa katika uhusiano kwa muda ...


Wiki iliyopita tuliweka habari ya Rose Ndauka kutolewa mahari na msanii mwenzake Malick Bandawe ambaye wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto.
Habari hizo zilitoka kwa chanzo cha karibu na wawili hao. Baada ya kupata habari hizo Swahiliworldplanet iliamua kumuuliza Malick
Bandawe "Chiwa Man" kuwa ni kweli amemtolea Rose mahari na kama ni kweli harusi yao inatarajiwa kuwa lini?. Malick alijibu " Ndoa yetu inafuata soon kama ulivyoona kuwa mahari tayari tuombe uzima ila ni mwaka huu"

Related

BONGO MOVIE 3665497795488636604

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item