MAITI YA MAREHEMU NEEMA ALIYEFIA INDIA YATUA DAR YAZIKWA BILA KUAGWA
R.I.P NEEMA Marehemu NEEMA na MUMEWE wa Tz Marehemu neema ambaye alifariki huko India maiti yake imewasili jana Dar Ss Salaam na sh...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/maiti-ya-marehemu-neema-aliyefia-india.html
![]() |
| R.I.P NEEMA |
![]() |
| Marehemu NEEMA na MUMEWE wa Tz |
Marehemu neema ambaye alifariki huko India maiti yake imewasili jana Dar Ss Salaam na shughuli za kuuaga zilifanyika leo hospitali ya taifa ya Muhimbili, lakini baadhi ndugu na jamaa walishindwa kuuaga mwili wa marehemu kwani inadaiwa umeharibika sana (madai umemwagiwa tindikali) kiasi kwamba huwezi kumtambua na mama yake ilibidi amtambue kwa alama aliyokuwa nayo kidoleni....pia inasemekana maiti imekutwa ikiwa haina ini na figo .
Mume wa marehemu neema ambaye pia aliwahi kuwa mume wa Mercy (waliachana) nae pia alihudhulia msiba huo (mtizame pichani).
![]() |
| MWILI WA NEEMA UKIPAKIWA KATIKA GARI MAALUMU BAADA YA IBADA |
![]() |
| MERCY ALIEACHWA NA MR. NICK |
![]() |
| MR. NICK AKISHUHUDIA MWILI WA NEEMA |
![]() |
| MR. NICK AKIFARIJIWA |
TUNATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU NEEMA, MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.
AMEN.







Mbele yako sisi nyuma.Pumzika pema.
ReplyDeleteBinadamu tuache visasi
Huyu mercy ni mnyama kabisaaa afaaa kuuwawaa!!!! Kahabaa malipo ni duniani tusubirie tuoneee
ReplyDeleteIla siku hizi malipo ni hapapa hata kama mtu amekuudhi huwez kumtoa uhai jaman khaaaaa
ReplyDeleteJamannnn usiandike kitu usichokijua
ReplyDelete