DISQUS SHORTNAME

MAITI YA MAREHEMU NEEMA ALIYEFIA INDIA YATUA DAR YAZIKWA BILA KUAGWA

R.I.P NEEMA Marehemu NEEMA na MUMEWE wa Tz Marehemu neema ambaye alifariki huko India maiti yake imewasili jana Dar Ss Salaam na sh...

R.I.P NEEMA
Marehemu NEEMA na MUMEWE wa Tz

Marehemu neema ambaye alifariki huko India maiti yake imewasili jana Dar Ss Salaam na shughuli za kuuaga zilifanyika leo hospitali ya taifa ya Muhimbili, lakini baadhi ndugu na jamaa walishindwa kuuaga mwili wa marehemu kwani inadaiwa umeharibika sana (madai umemwagiwa tindikali) kiasi kwamba huwezi kumtambua na mama yake ilibidi amtambue kwa alama aliyokuwa nayo kidoleni....pia inasemekana maiti imekutwa ikiwa haina ini na figo .

   Mume wa marehemu neema ambaye pia aliwahi kuwa mume wa Mercy (waliachana) nae pia alihudhulia msiba huo (mtizame pichani).

MWILI WA NEEMA UKIPAKIWA KATIKA GARI MAALUMU BAADA YA IBADA

MERCY ALIEACHWA NA MR. NICK

MR. NICK AKISHUHUDIA MWILI WA NEEMA

MR. NICK AKIFARIJIWA

TUNATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU NEEMA, MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.
AMEN.

Related

HABARI YA MJINI 1753901383553259773

Post a Comment

  1. Mbele yako sisi nyuma.Pumzika pema.
    Binadamu tuache visasi

    ReplyDelete
  2. Huyu mercy ni mnyama kabisaaa afaaa kuuwawaa!!!! Kahabaa malipo ni duniani tusubirie tuoneee

    ReplyDelete
  3. Ila siku hizi malipo ni hapapa hata kama mtu amekuudhi huwez kumtoa uhai jaman khaaaaa

    ReplyDelete
  4. Jamannnn usiandike kitu usichokijua

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item