LULU "TURUHUSIWE KUIGIZA NUSU UTUPUILI TUONYESHE UWEZO"..
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/lulu-kuigiza-nusu-utupu-ili-tuonyeshe.html
DIVA wa filamu za Kibongo,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba
mamlaka zinazosimamia maadili ya
filamu nchini ziwaruhusu wasanii
waigize nusu utupu ili kuendana na
soko la kimataifa.
Akitetea hoja yake mbele ya paparazi
wetu, staa huyo aliyeitendea haki
filamu ya Foolish Age alitolea mfano
Tamthiliya ya Shuga iliyomtoa Lupita
Nyong’o ambayo alicheza akiwa
nusu utupu.
“Wanasema hatufuati maadili wakati
kuna muvi ambazo zipo theatre na
watu wanaangalia hazina maadili,
wao wanataka tufanye vitu kwa
kudanganya wakati sasa hivi tuko
dunia ambayo tuna takiwa tuweke
vitu wazi, wasibane sana,” alisema
Lulu.

Lulu kazuri sana
ReplyDeleteHizi story za kutunga hazina mashiko kwa kweli,we huyo Lulu ameongea lini anataka kuact nusu uchi???Fuata ya Wema wako alokuajiri pls leave Lulu alone saivi yuko busy na kutafuta pesa
ReplyDeleteLulu akiacha umalaya mamake atakula nini hehehehe kunguru afugiki
ReplyDelete