Apple kuinunua kampuni ya Dr Dre‘Beats Electronics’ kwa dola bilioni3.2!
Dr. Dre yupo njiani kuwa rapper wa kwanza BILLIONAIRE pale kampuni ya Apple itakapoinunua kampuni yake yake Beats Electronics. Kwa muji...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/apple-kuinunua-kampuni-ya-dr-dre-beats.html
Dr. Dre yupo njiani kuwa rapper wa kwanza
BILLIONAIRE pale kampuni ya Apple
itakapoinunua kampuni yake yake Beats
Electronics.
Kwa mujibu wa TMZ, Apple inadaiwa itainunua
Beats kwa gharama ya $3.2 BILLION. Dre na
mwanzilishi wa Interscope, Jimmy Iovine ndio
walioanzisha kampuni hiyo.
Dre na Jimmy
walianzisha kampuni hiyo mwaka 2008 kwa
kutengeneza headphone lakini sasa
wanatengeneza pia spika, vifaa vya sauti vya
kwenye magari na mtandao wa kustream muziki.
Deal hiyo inaweza kukamilika wiki ijayo na
itakuwa deal kubwa zaidi ya kampuni Apple. Dre
alikamata nafasi ya pili kwenye orodha ya Forbes
ya wasanii wa hip hop matajiri zaidi akiwa na
$550 million nyuma ya Diddy mwenye $700
million.
