DISQUS SHORTNAME

KUTANA NA FLAVIAN MATATA -A TRUE TANZANIAN BEAUTYQUEEN AND FASHION MODEL

Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza au kuwa na makusundi ya Udaku...

Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza au kuwa na makusundi ya Udaku...
sijui TEAM nani...Nyota yake ilianzakung'ara tangu 2007 aliposhinda taji la Miss Universe, Tanzania na kuwakilisha nchi kwenye mashindano hayo kidunia....Huyu ni mwanamitindo mwenye mafanikio kimataifa..., Ana Asasi yake ya kusaidia jamii........Mimi namuita - A True Tanzanian beauty queen and fashion model

Related

HABARI YA MJINI 1358392783568668817

Post a Comment

  1. Hakanaga mvuto haka nako kabaya utadhani kambale au migebuka

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item