DISQUS SHORTNAME

Uwii:MTangazaji wa KISS 100 FMA mchana Vera Sidika LIVE!! Kwa Kujichumbua!-Mpoki cha Mtoto

Mtangazaji wa KISS 100 MF, Kenya Caroline Mutoko jana ameibuka na kumchana mwandada VERA SIDIKA (Huyu ni moja kati ya MODELS wanaosumbua...


Mtangazaji wa KISS 100 MF, Kenya Caroline Mutoko jana ameibuka na kumchana mwandada
VERA SIDIKA (Huyu ni moja kati ya MODELS wanaosumbua Afrika Mashariki) kwakujibadilisha
kwa kutumia mikologo......Duh mtangazaji huyu ametoa bonge la DIS ....lenye ukweli na ushauri sio kwa VERA tu!! Kwa wote (Hata wanaume mnaotumia vitu hivyo)...
Ishu yenyewe ni hivi: Caroline Mutoko aliandika DIS hiyo kwenye ukurasa wake wa FACEBOOK wenye LIKES zaidi ya LAKI TANO...Kwamuda wa nusu saa tu watu zaidi la LAKI MOJA wali-LIKE post hiyo na komment zaidi MIA MBILI. Nanukuu; Dear Vera - what you do with your life after the age of 18 is your business. So long as you're not hurting anyone - go you Saliva Vic, it's your business and he's right. However - alittle thing to consider. If I may.... You look very different, infact nothing close to what you looked like earlier this
year or this time last year..... Therefore... speak to your lawyer to allow you to process all your important
documentation afresh. Anything that has a visual of you (ID, Passport, bank papers, ATM card, membership, cards etc) you don't want a situation where you have to explain that you're the "same" person. It's awkward. Just re-do the paper work. And do let me know when we can host you on the show to talk about your transformation. You have not hidden it at all & you made sure people knew that you are changing. Naamini umemuelewa....(HATA MIMI WA DIVISION 5 NIMUELEWA) Kisha akatupia picha hizi: Zikimuonyesha Vera akiwa na yeye (Caroline Mutoko) BACK in Days walipofanya kipindi siku tofauti...

Related

HABARI YA MJINI 992678220848668131

Post a Comment

  1. hahaaa kmbe vera naye ali2mia mkorogo. hiyo pic yake ya zamani alkua mweusi mno

    ReplyDelete
  2. Vera punguza mikorogo na makalio yako ya plastic surgery inaonyesha ni jinsi gani usivyojiamini!shame on you!

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item