DISQUS SHORTNAME

Kingine kutoka kwa Wema Sepetu,sikiliza kupitia You heardya Mei 13.

Kuna story mpya ambayo imetoka kupitia You heard ya leo na hii inamhusu Wema Sepetu,inasemekana kuwa ameshindwa kutoa gari lake ambalo li...


Kuna story mpya ambayo imetoka kupitia You heard ya leo na hii inamhusu Wema Sepetu,inasemekana kuwa ameshindwa kutoa gari lake ambalo lipo Garage kwa zaidi ya wiki moja na taarifa hii ni kutoka kwa miongoni mwa watu ambao wako karibu na Garage hiyo.
Haya ndiyo mahojiano yao kati yake na Soudy
Brown wa Xxl ya Clouds Fm Wema:’Hapana gari yangu inatengenezwa inabadilishwa spare na bampa lake la mbele lilikuwa limetoka,linafanyiwa kama service kubwa. Soudy Brown:Wanasema eti umeshindwa
kwenda kuigomboa eti?? Wema:’Hamna kitu kama hiko,gari mbona ilishalipiwa mbona unaongea vitu ambavyo havipo gari haijatoka tu iko juu ya mawe kwamba matairi yametolewa ndiyo maana inatengenezwa ‘ Soudy Brown:Anhaa mimi nikajua umeshindwa kulipa kama mafundi wanavyosema Wema:’Mh hakuna kitu kama hicho mafundi  watakua wanaongea vitu vya ajabu kwa sababu gari ameenda kuilipia petii,mpigie simu petii halafu muulize usinipanikishe kwa sababu najua ninachofanya halafu naumwa halafu unavyonifanya nizidi kuongea unazidi kunizingua’ Wema:’Gari yangu imeenda leo ina siku ya 6 kwa sasa natumia gari nyingine’

Related

BONGO MOVIE 492830001030124147

Post a Comment

  1. mhuuu watu wengine bwana wanapenda kuzusha duu ilimradi tu wema atukanwe kumamayozenu wote

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item