Cheki walichokiandika mastarkadhaa wa Tanzaniawalichokiandika baada yaDiamond kutangazwa kushirikikwenye BET
Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/cheki-walichokiandika-mastar-kadhaa-wa.html
Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,
imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania
wamekubali kutoa ya moyoni baada ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela,Wema Sepetu,Ay,Belle 9,Vanesa Mdee na wengine kibao. Hizi ndizo post za mastar hawa.

