DISQUS SHORTNAME

KANYE & KIM, DAVID & VCTORIA BECKHAM, Jay Z & BEYONCE @ Met Gala

Haya wadau couple ipi inakuvutia kati ya hizo,ni couple ipi Bongo unaweza kuifananisha na mojawapo kati ya hizo ? Tiririka comment zako pl...

Haya wadau couple ipi inakuvutia kati ya hizo,ni couple ipi Bongo unaweza kuifananisha na mojawapo kati ya hizo ? Tiririka comment zako pleaseeeeeeeeee...................................................................................

Related

KWINGINEKO DUNIANI 1442035572624116922

Post a Comment

  1. Lupita kachemka kweli, sijui hakuambiwa party kama hizo watu wanapania, kaanza kuaribu siku hizi, hapo juu Kim kawafunika, bey sijamwelewa kabisa, victoria huwa namwona hanaga mvuto hata avae nini

    ReplyDelete
  2. ati Jiga ana mdomo mbaya sema ana heela aahha ahaaa nimecheka hapa,but is best couple anyway , Kanye kama Gangsta hivi ila jamaa anajua ku care na anaonekana bushoke, mwisho wa kazi Beckham ye anazaa tu hiiii hiiiiii nampendaje....sasa mi best couple yangu ni Diamond na Wemaaa baaaaasi memaliza huko labda hiyo namba 1

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mie kajala na clem, haki ya nani hata kama mie ningeibuka nae, sema tu wengine sio mashuhuri, ila hizo ziko sana mtaani.

      Delete
  3. Beyonce na jay z..huyo kim nae hiyo style ya leg angelina jolie kashaiweka zamani, angebuni nyingine nae..

    ReplyDelete
  4. Kimye is the best!!!

    ReplyDelete
  5. Kimyeeeeeee,wapo juu

    ReplyDelete
  6. Mimi dai na sepetunga tu

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item