KANYE & KIM, DAVID & VCTORIA BECKHAM, Jay Z & BEYONCE @ Met Gala
Haya wadau couple ipi inakuvutia kati ya hizo,ni couple ipi Bongo unaweza kuifananisha na mojawapo kati ya hizo ? Tiririka comment zako pl...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/kanye-kim-david-vctoria-beckham-jay-z.html


Lupita kachemka kweli, sijui hakuambiwa party kama hizo watu wanapania, kaanza kuaribu siku hizi, hapo juu Kim kawafunika, bey sijamwelewa kabisa, victoria huwa namwona hanaga mvuto hata avae nini
ReplyDeleteati Jiga ana mdomo mbaya sema ana heela aahha ahaaa nimecheka hapa,but is best couple anyway , Kanye kama Gangsta hivi ila jamaa anajua ku care na anaonekana bushoke, mwisho wa kazi Beckham ye anazaa tu hiiii hiiiiii nampendaje....sasa mi best couple yangu ni Diamond na Wemaaa baaaaasi memaliza huko labda hiyo namba 1
ReplyDeleteMie kajala na clem, haki ya nani hata kama mie ningeibuka nae, sema tu wengine sio mashuhuri, ila hizo ziko sana mtaani.
DeleteBeyonce na jay z..huyo kim nae hiyo style ya leg angelina jolie kashaiweka zamani, angebuni nyingine nae..
ReplyDeleteKimye is the best!!!
ReplyDeleteKimyeeeeeee,wapo juu
ReplyDeleteMimi dai na sepetunga tu
ReplyDelete