DISQUS SHORTNAME

Kama Ulikuwa Hujui Mambo YaSiri Na Ya Ndani Kabisaa YaShilole Haya Hapa, Tazama JinsiMwenyewe Alivyofunguka..!!

Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya...


Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali mbali in order to survive. Shilole katika pitapita zake kwa bahati mbaya alijikuta akilazishwa mapenzi wakati akiwa na umri mdogo sana, msanii huyo akiwa na miaka 14 tu alijikuta akiwa na mimba .
“nilipata mimba nikiwa mdogo sana yani hata maziwa ndio yanaanza sipendi kitu hiki kimtokee msichana mwengine kwa kweli na pia kwa wale wanaume wenye tamaa plz wanapoteza future za watu” alisema shilole. Baada yakupata mtoto wake huyo, aliangaika nae na baadae alijikuta akiolewa na mtu mwingine na kuweza kupata mtoto wake wa pili
akiwa na umri wa 18 na mwisho wa siku alitoka ndani ya ndoa na kuhamia Dar na kuanza
maisha upya.

Related

BONGO FLAVA 5037599778012015334

Post a Comment

  1. Hivi kweli kabisa umekosa mambo ya kutuandikia ktk blog adi uandike hii story inayojulikana kila mahali??Jaribu kuwa mbunifu sio kuokota maneno yaliyozungumzwa miezi kadhaa nyuma na kuyaweka humu,we need someting new n co blah blah like dis yani km huwezi kuwa mbunifu funga iki kiblog tujue moja

    ReplyDelete
  2. Huyu Miriam6 sio team nanii kweli kakosa wateja anahangaika humu.....ahahahaa ahahaaa nabado mwaka huu mbona mtarudi kijijini na nina ukwaju wako hapa nauandaa vizuri maninaaaa

    ReplyDelete
  3. TEAM FANGAS HUYU YAMEWASHINDA INSTAGRAM WANAKUJA BLOG HAOOOOOO WAMEPANIC

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item