DISQUS SHORTNAME

MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEFUMANIWA AELEZA JINSI RAFIKI YAKE WA KIKE ALIVYOMCHOMA KWA BOYFRIEND WAKE...!

Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wak...


Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake.

Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita Amani ambae amecheza filamu ya Ngema na nyinginezo alisema" Maisha tu haya ila kiukweli rafiki yangu alinifanyia kitu kivaya kwa kunichoma kwa boyfriend wangu ambae ilibidi anioe naamini hakuna binadamu aliyekamilika" Alisema Amina



Related

BONGO MOVIE 1811234851745502830

Post a Comment

  1. akome manina zake. una bf anayetaka kukuoa bwana mwingine wa nn?

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item