Jaguar aitosa ofa ya serikali yaKenya ya kuwa member wa bodiya vijana
Jaguar amethibitisha kuwa hana shida na posho na hela ndogo ndogo za serikali ya Kenya kwa kuitosa ofa aliyopewa na gavana wa Nairobi ya...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/jaguar-aitosa-ofa-ya-serikali-ya-kenya.html
Jaguar amethibitisha kuwa hana shida na posho na hela ndogo ndogo za serikali ya Kenya kwa
kuitosa ofa aliyopewa na gavana wa Nairobi yakuwa member wa bodi ya vijana.
Kupitia barua aliyomwandikia gavana huyo,Jaguar ametaja sababu nne za kukataa ofa hiyo ikiwa ni pamoja na kwamba ‘tangu serikalii chukue madaraka mwaka uliopita sijaona ilichokifanya kwa vijana’, hakutaarifiwa na serikali kabla ya jina lake kuandikwa kwenye gazeti na pia kutokuwa na muda wa kuhudhuria vikao vya bodi hiyo.


Huyu kaka wallah atanioa bureeehh!!!sitaki ata ndururu yake,i just luv u Jaguar
ReplyDeleteTisha aanaaaa
ReplyDelete