DISQUS SHORTNAME

HASHEEM THABEET NA MCHUMBA WAKE BEE ANDERSON WAPATA MTOTO WA KIUME

Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘ Thunder aka OKC’ katika jijini la Oklahoma , Marekani Hasheem Thabeet aka ...


Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘ Thunder aka OKC’ katika jijini la Oklahoma , Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume ( Baby Boy) aliyezaa na msichana wa kimarekani anafahamika kwa jina la Bee Anderson alias
Love Queen Bee.
Hasheem ameingia kwe list ya mastar waliobahatika kupata mtoto katika fani tofauti nchini humo , mke wake akiwa ni super model akitokea jiji la Las Vegas,Marekani .

Related

KWINGINEKO DUNIANI 8204143817734991795

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item