DISQUS SHORTNAME

Dr Cheni aruhusiwa baada yakulazwa kwa ugojwa wa Dengeu

Msanii wa filamu Dr Cheni ameruhusiwa leo kutoka katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kutokana kuugua na ...


Msanii wa filamu Dr Cheni ameruhusiwa leo
kutoka katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es
Salaam alipokuwa amelazwa kutokana kuugua na
ugonjwa wa Dengeu.

Dr Cheni akiwa na JB
Kupitia Instagram ameandika: Asanten sana
ndugu marafiki washabiki kwa dua zenu leo
nimeruhusiwa sina cha kuwalipa, mungu
atawalipa kwa sala (maombi) yenu amin”
Dr Cheni alilazwa May 6, mwaka huu baada ya
kuugua na ugojwa huo ulimsababishia aishiwe
nguvu na kupungukiwa damu mwilini.

Related

BONGO MOVIE 2766146716105947084

Post a Comment

  1. Daaah huu ugonjwa ni hatari nimeguswa kuwaona Jb na mr chik mungu awape moyo wa huruma hivohivo

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item