DISQUS SHORTNAME

BABY MADAHA, MENEJA ’ KE NDOA NOVEMBA

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake , Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba , mwaka huu nchini Kenya jij...


MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby
Madaha na meneja wake , Joe Kariuki
wanatarajia kufunga ndoa Novemba , mwaka
huu nchini Kenya jijini Nairobi.
Msanii wa muziki na filamu Bongo , Baby
Madaha.

Akizungumza na mapaparazi wetu, Meneja
wa Baby Madaha, Joe alithitisha mipango
hiyo na akasema sasa wanafanya kazi nyingi
za muziki mpaka zifike nyimbo 20 ambapo
baada ya kuoana zitaanza kutoka mojamoja
kwa muda wa miaka minne.
Baby Madaha akiwa katika moja ya kazi
zake na meneja wake ,Joe.
“Ni kweli tumepanga kuoana , kikubwa
ninaandaa nyimbo nyingi ili baada ya ndoa
nitasimama muziki na badala yake nitakuwa
naachia nyimbo tu ,” alisema Baby
anayetamba na Wimbo wa Nawaponda .

Related

BONGO FLAVA 6469004433614521723

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item