DIVA VS HILDA WAKIZUNGUMZIA SWALA LA KAJALA KUVAMIA BWANA WA WATU
Tunaomba usikilize Hilda alichotoa kama mawazo ya binti inapotokea situation kama hiyo na wewe ukitupa comments zako si mbaya itasaidia kama...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/diva-vs-hilda-wakizungumzia-swala-la.html
Tunaomba usikilize Hilda alichotoa kama mawazo ya binti inapotokea situation kama hiyo na wewe ukitupa comments zako si mbaya itasaidia kama ushauri na kumrekebisha mwenzetu pia itamsaidia.

Wema hajasikika akilalamikia huyo mwanaume hata siku moja, na ht alipohojiwa kuhusu CK kutembea na Naima alisema yy anaona poa tu kwasababu na yy tayari yuko happy na mtu wake. Kinachomchafua Kajala ni kutembea na X wa mtu wako wa karibu, Who does that? mzuri wako ni mzuri wa mtu wako wa karibu na mbaya wa mtu wako wa karibu ni mbaya kwako. sasa unataka kutwambia Kajala alikuwa haongei chochote na CK kuhusu Wemaaa? na inaonyesha CK bado alikuwa anampenda Wema na ndio maana kutwa kumfanyia mavituko mara kamdai hiki mara kile( na hata kama hampendi tena) sasa tutakuwa na uhakika gani alikuwa amshawishi CK amfanyie vitu vibaya Wema. ( I can imagine alikuwa anamconvice amnyang'anye ofisi alafu upande a pili anarudi kusympathise na Wema.......huo ni unafiki) Basi alipoona tu ameamua kutembea na huyo CK angevunja urafiki na Wema haraka ili asiwe mnafiki au hata angecome clean kwa shoga ake kuwa kweli mm natoka na huyu mtu lkn sio, Wema alikuwa anamtetea kbs kuwa hilo halipo. Kupitia account yake ya instagram baada ya watu kurusha madai kuwa anatembea na huyo baba. ( aliindika miezi mitatu iliyopita) na hapo hapo walidai kuwa Kajala anatembea masaloon anamsema Wema vibaya kwa watu, je baada ya ushahidi wa kutembea na huyu baba vp kuhusu kumsema vibaya kwa watu… inabidi tuamini nalo maana walisoema anatembea na Clement ndio walisema kuwa anamsemaga Wema vibaya.
ReplyDeletehttp://web.stagram.com/p/654514481853166850_202048388
Caption ilisema hv “I call her me corazon, my bff nd nothing is gona come btn us.... nampenda sana rafiki yangu na sitoacha... hakuna kitu cha kajala nisichokijua... you guys can say anything or watever u want to but i know my frend.... eti anatembea na clement dah wabongo... okay fine basi hata kama amgekuwa anatembea nae ukweli so wat... dont try to destroy ma friendship na wakati hamjui tumetoka wapi, mimi na kajala.... na hizi account mnazofungua jus because of kuharibu naanza kukereka nazo saaaana... tukaneni tu maana nshazoea kuona matusi but sio kuongea uongo usio na kichwa wala miguu... maana nikisema nikae kimya it will be like nachekelea this thing... well im nat happy na sijapenda hata kidogo.... Kay, u dont need to be depressed abt anything... kitu kisicho na ukweli kisikupe taabu.... im too mad yaani... @new_kajala @new_kajala @new_kajala 3mon
Unatumia kinywaji gani nikuleteevpopoye ulipo.maana umeongea ukweli na ushahidi juu! Big up tobuu
DeleteDAH UMEONGEA PINT SAANA MDAU HAPOJUU.PIA HATA WAKATI ULE KAJALA WALIPOKUWA CLUB NA WEMA AKATOKA NJE AKAMWACHA WEMA NDANI YA CLUB AKAJIDAI AMEENDA KUPUNGA HEWA ANAJISKIA VBAYA NIUONGO ALIENDA KUONGEA NA SIMU CK ALINZA KUCHAT NA KAJALA TOKEA WAKIWA HOME KWA WEMA .ILA WEMA HAKUSHSTUKIA HILO.SASA WALIPOKUWA CLUB NDIO AKITWA NA CK WAKAONDOKA.HUKU NYUMA AKAJIDAI ETI KAENDA HOME ANAJSKIA VBAYA AMEWEKEWA SUMU KWENYE KINYWAJI.HATA WEMA ALISHANGAA SANA KUSIKIA HIVYO,SUMU KIVIPI WAKATI GLASS WALIKUWA WANATUMIA WOTE ZAVINYWAJI?KUMBE MALAYA MBWA MBOVU ALIANZA KUMZUNGUKA WEMA SIKUNYINGI SANA.NDIO UJUE KIKULACHO ?NAPIA TULIWAHI KUSEMA KUWA KAJALA ANAMSEMA WEMA VBAYA SABA KWENYE MASALOON AKIWA NA SHOGA ZAKE WENGINE ANAMTOLEA WEMA SIRI ZOOTE ,,HATA ILE YA WEMA KUFULIA NIKAJALA ALIKUWA ANATOA SIRI WANAZOSHEA NA WEMA,KUWA WEMA ANAPENDA SANA ATTENSION AKIONA WATU HATA.HATA ILE YAKUWA WEMA NA ROMYJONS WACHAWI WANAENDAGA KWA WAGANGA NI KAJALA ALIVUJISHA KWA SHOGA ZAKE.KWAKIFUPI TUNAMENGI KAJALA AMEYANIKA NJE KUHUSU WEMA.NACHOKUSHAURI WEMASEPETU MUOGOPE KAMA UKOMA HUYO MALAYA HAFAI HAFAI HAFAI.NISIMBA MWENDOPOLE NDIO MLANYAMA.AKILIA HAPA UTAMUONEA HURUMA AKITOKA HAPO ANAKUNGONGA.UMEMSADIA VYAKUTOSHA ACHANA NAE,HATA ILE ACOUNT YA ROMYJONS NAWEMASPSTU WACHAWI NIMDGO WAKE KWELI NAUSHAHIDI NINAO.ILA KWALEO NIHAYO.KAMA UNAMSAMEHE AKIOMBA MSAMAHA USITHUBUTU KUMLETA KARIBU TENA NIMUUAJI YULE.
DeleteNa kama alichofanya ni jambo la kiuungwana au angekuwa na nia safi si angeweka wazi tu kuanzia kwa Wema mwenyewe na ht alipoona watu wanadai kuwa Wema amegombana naye kwasababu ya huyo mwanaume angejibu ukweli kuwa ndio mm natoka na huyo mtu lkn hyo sio sababu ya ugomvi wangu na Wema, ingesaidia watu leo kutomlaumu Wema kuwa anamind kuwa Kajala anatoka na mtu wake ilihali washaachana
ReplyDeleteMfano halisi ni jinsi Wema alivyomind Jokate kutoka na Daimond… hii ni kwasababu alikuwa anaamini kuwa Jokate alikuwa aware kuhusu uhusiano wake yeye na Daimond na alikuwa kwenye good terms na Jokate sasa kwann akamfanyia vile lkn sasa kuja kwa Penny naomba ninukuu majibu yake ya interview aliyofanya na Bongo5
http://www.bongo5.com/on-her-birthday-exclusive-interview-na-wema-sepetu-kuhusu-maisha-yake-kanumba-diamond-na-mengine-09-2013/
Tusibishane kwa matusi tu, hata wastaarabu wanajua Kajala kachemsha, Kama ni kweli mapenzi basi alitakiwa ai handle hii kitu tofauti kidogo. Yaani katika muda mfupi tu wa rafiki yako kuachana na mtu wake ww unaenda kudate na huyo mtu? Tena basi unaulizwa unakanaje? Maana ingekuwa wazi Wema angekujumlisha katika lile jibu la interview aliloulizwa kuhusu Naima na CK issue ikawa imeisha na sio kumuweka kiporo aje azungumzwe tena sasa hivi. Wema alikuwa zaidi ya rafiki yake hakutakiwa kufanya hvyo na wala asilalamike mtoto wake kutukanwa kwasababu yy ndio anayemtukanisha. Mtoto anajifunzia kwao kabla hajafunzwa na ulimwengu sasa yy mama gani anamuonyesha mwanae hvyo. huyu ni Auntie Wema na huyu ni mtu wake, as soon as wanaachana nakamatia fursa mwanangu....uwiiiiiiiiiiiiii.
ReplyDeleteAngalizo; kwanza, Ex wa mtu wako wa karibu anapokutongoza, usizanie anakupenda ni kwamba anatafuta kumuumiza tu huyo mtu wako. Km unabisha angalia Daimond mpaka leo hana sababu iliyomfanya aachane na Jokate, na bado tunasubiria sababu ya kuachana na Penny. Hvi bado tunajishindanisha au kudanganyika mwanamme kukwambia eti sijawahi kupewa raha unazonipa? Au kukusifia zaidi ya waliokutangulia? Wangapi waambiwaga Ex zangu walikuwa wakali zaidi yako? (sifa za kijinga)
ReplyDeletePili, tuwe makini na tabia za marafiki zetu, rafiki yako hawezi kuwa na kashfa ya aina moja kwa zaidi ya mtu mmoja alafu ukaendelea kumchekea, you need to check her vizuri. Huyo huyo kajala ilidaiwa alimchukua mume wa shamim, mara akaenda akapora bwana wa Decutee china sasa cha leo cha ajabu kipiiii?????
Tatu; Kajala acha kuwa selfish, haya maisha sio kuhusu ww tu, kuna mwanao na mama ako pia, wameshapitia meeengi saaana kwa ajili yako hebu wape pumziko. Tamaa ya pesa mbona inakupeleka kubaya? yaaani ile kesi haikukufunza kitu? Najua mama ako anajua thamani ya Wema katika maisha yako aisee sipati picha ameumiaje. mwanao ndio kbs, atakuwa
Nne, wabongo tuache ushabiki wa kinafki, yaani tuko tayari kutafsiri kitu tofauti ili mradi tu tumtetee mtu. Kwenye mambo mengine tunakuwa tunawaua tunaowashabikia. Hv hamjiulizi kwann wasanii wetu hawaendelei? Matangazo yote hayaaaaa? Ubalozi unawapitia pembeni. Nani anataka bizaa yake iwe endorsed na mtu wa majanga? Kwa mambo ya Kajala mnafikiri kuna mtu anaweza kumpa deal aindorse bidhaa yake? Angalieni nchi za nje star anafanya blanda zake kibao kwa siri kubwa siku yakianikwa hadharani anapoteza kila kitu, kila aliyemuweka kwenye biashara yake anamdrop. Anapokosea Wema anasemwa na mwingine akikosea asemwe, au km ulikosa la kumsema Wema basi isiwe sababu ya kupinga hili la kajala eti kisa tu kwani Wema hakoseagi??? Hyo sio point ya kufuta kosa la kajala. Na acheni kujiulizisha maswali ya amabayo yanapelekea kumaanisha kuwa Wema anamind vp kama bwana alishaachana naye kwasababu Wema hajaongelea hii issue mpaka sasa, wanaolalamika ni watu amabao wanaona dhahiri kuwa bi shosti kakoseaaaa.
ReplyDeleteMuombe Wema msamaha aisee, sio kwa kumchukua huyo CK, hapanaa ,,,, kwasababu she is happy sasa hv kwa mtu wake bali ni kwa kumtia aibu ya kuwa na rafiki mbaya km ww, kwa usumbufu na stress unazomletea kwenye uhusiano wake wa sasa maana hili halitoenda unnoticed, lazima yy na baby wake walizungumze hili na kwasababu kila mtu analiongelea litakuwa na kastress flani, muombe msamaha kwa kumuangusha Wema kwa mama yake maana alishamuomya kuwa bado hana rafiki wa kweli akabisha akawa na ww pia, leo atamuuliza si nilikwambiaga lkn?, vp kuhusu ndugu zake waliokupokea km mdogo wao? Muombe msamaha mama ako kwa kuendelea kumdhalilisha baada ya yote yale aliyopitia,mara ya kwanza alionekana kazaa jizi na tapeli, leo inaonekana she raised a BITCH, Mwanao mpigie magoti mama, kwasababu maisha yake yoooote ataishi na hz kashfa, ulitakiwa umuache aje atafute zake mwenyewe. waombe msamaha watu wako wa karibu ambao kutwa ni kukutetea leo umewaumbua. Iombe msamaha jamii uliyoipoteza mpaka sasa, Mungu wangu sipatii picha mwanangu aje aniambie role model wake ni wewe, uwiiiii ntazimia, na sio siri kwangu movie uliyoigiza haitotazamwa tena maana asije kukuona humo akakupenda. Kubwa zaidi iombe msamaha bongo movies maana unaiua kiasi kwa huu ujinga.
ReplyDeleteMwisho futa machozi ya kinafki, jifunze kurizika na kidogo ukipatacho, kaa nyumbani ulee mtoto wako. Tamaa yako ndio inayomfanya mumeo aozee jela, hukuwa mwanamke wa kurudhika wala kumshauri mumeo vizuri, ( maana km baada ya makosa yake ya awali lilipokuja swala la kuuza nyumba iliyozuiwa na PCCB ungetumia busara ukagoma isiuzwe leo huenda yasingekuwa makubwa km yalivyokuwa). utawaumiza wangapi??? Wema hebu tuulizie bwn Chibu vizuri, usikute naye alishamtongozaga... maana anapenda vya watu huyu.
ReplyDeleteHizo comments zote nimeandika mtu mmoja, umeniumiza sana Kajala, Wema wa watu alikuwa kwenye kushereheka na mpenz wake leo unamrudisha kwenye midomo ya watu tena, Mungu anaona na atakulipia. Ushauri kwa team Wema, jmani fanyeni mpango ili zogo liishe, yaani ashaanikwa kwa kutosha sasa hv ni kama mngeacha kumtukana au kucomment issue za kajala kokote kule, mambo ya madam yaongelewe mazuri tu, wekeni mapicha sifieni kadri ya uwezo wenu ili ifunike hili liishu. Madam sasa hv ni balozi wa airtel haya makorokoro yasije muharibia milo yake bure. Fanyenu juhudi za kumpandisha juu zaidi
ReplyDeletena pia sizani km Chibu anajisikia vizuri, maana kuna wanaotumia utumbo aliofanya kajala kumtukana tena Wema hasa wasiojua kutafisri hiki kisanga.
DeleteWw mdau hapo juu ulieandika hz coment umeongea kwa busara kubwa na uchungu wa hali ya juu mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie sina la kuongeza kwa sababu yote umemaliza hongera sn.
ReplyDeleteYani nimeona Tupo wengi wenye status zetu ambao si watu wa kucomment ovyo mana insta ingepata msg Kama hizi mbili tatu tu japo kwenye hili sakata tungepima uelewa wa watu! Sina cha kuongeza hapo annon umemaliza yote!! Please muhusika paste hizo comments zote kwenye page yako Instagram watu waelewe nini Shida!! Mana wengine either ni kupotosha makusudi au ni wale wachache waliohitaji against Wema! Mana wakubali wakatae Wema anapendwa! Imefika mahali watu wakaribu yake waelewe wakigombana nae wamegombana! Saiizi hili beef si la Wema tena ni Kajala na jinsi public ilivolichukulia hili suala, Mnaosema Wema si Yuko na chibu ni kweli na halipingiki na couple inayopendwa sana Tza so kwamba Wema anaumizwa kajala kutembea na ck sahauni au mnajifurahisha! Suala ni wapi ubinadamu!!! What kind of heart kajala carries!! Atasamehewa sawa kitu gani? Kumsema mwezie vibaya? Ni wivu au Tabia? Kuna Shida kubwa sana hapo zaidi ya kutembea na huyo clement !! Hata akimsamehe distance inatakiwa!!
ReplyDelete@gossipcourt post comments hizi zina akili wakuelewa ataelewa
ReplyDeleteSawa wadau ntazifanyia kazi ntazipost instagram ahsanteni kwa mawazo yenu
ReplyDeleteYaani pamoja nampenda wema, insta sasa hivi siingii, nakereka sana na matusi, hasa wewe jipange, unachohcea sana watu watukane, kama mdau alivyosema hapo juu, mnamuharibia wema biashara zake na airtel, balozi gani sasa hata mtoto akifungua insta yake kumwangalia anakutana na matusi
ReplyDelete