DIAMOND ASIKITISHWANA KUVUJA KWA WIMBOWAKE MPYA.
Baada ya wimbo unaokwenda kwa jina la KITORONDO uko mtandaoni mapema leo msanii Diamonda amefunguka kupita Instagram na kulaani kiten...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/diamond-asikitishwa-na-kuleak-kwa-wimbo.html


Dah!kiukweli ni Bonge la nyimbo,vionjo furani vya asili,mduara kwa mbali ila sie tulio Daslam zamani wakati redio moja (radio Tanzania) hapo tunahusika sana maana wakati huo bash....mnasubiri mdundiko au vanga kwa jirani.....mwali atoke.huyu mtoto pamoja na promo ANAJUA SANA,Hongera Diamond
ReplyDelete