DISQUS SHORTNAME

DIAMOND ASIKITISHWANA KUVUJA KWA WIMBOWAKE MPYA.

Baada ya wimbo unaokwenda kwa jina la KITORONDO uko mtandaoni mapema leo msanii Diamonda amefunguka kupita Instagram na kulaani kiten...


Baada ya wimbo unaokwenda kwa jina la KITORONDO uko mtandaoni mapema leo
msanii Diamonda amefunguka kupita Instagram na kulaani kitendo cha mtu aliye
leakisha wimbo huo ambao hauna quality nzuri na bado alikuwa hajauachia. Haya ndo
maneno yake.



Related

BONGO FLAVA 8379089545811451092

Post a Comment

  1. Dah!kiukweli ni Bonge la nyimbo,vionjo furani vya asili,mduara kwa mbali ila sie tulio Daslam zamani wakati redio moja (radio Tanzania) hapo tunahusika sana maana wakati huo bash....mnasubiri mdundiko au vanga kwa jirani.....mwali atoke.huyu mtoto pamoja na promo ANAJUA SANA,Hongera Diamond

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item