DISQUS SHORTNAME

CHEKI DIAMOND ANAVYOONGOZA KUPIGIWA KURA BET

Watanzania! Mpaka sasa rekodi nyingine ya Diamond BET Awards ni hii. @DiamondPlatnumz Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnum...


Watanzania! Mpaka sasa rekodi nyingine ya Diamond BET Awards ni hii. @DiamondPlatnumz Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. ( Best International Act: Africa ) Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya pili katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama
Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya
kijamii basi anaweza kushika nafasi ya kwanza kwa kumpiku alie juu yake ambae kamzidi kwa asilimia nyingi sana.

Related

HABARI YA MJINI 7837541230866638388

Post a Comment

  1. jamani hebu elezea jinsi ya kupiga kura m cjui

    ReplyDelete
  2. fungua blog ya jipange kuna maelezo yote.....

    ReplyDelete
  3. Hizi kura hazisaidii. Jipange101 na millardayo mmepotosha watu. Credibility yenu itashuka ondoeni hizi link za BET. Ni fake

    ReplyDelete
  4. MBNA mnatuchanganya fake kivp??au wivu tu

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item