DISQUS SHORTNAME

video:Show mpya ya MwishoMwampamba ‘Boys Boys’ kuanzakuoneshwa TV1 wiki ijayo (May22)

Show mpya ya TV iitwayo ‘Boys Boys’ ambayo  imekuwa ikifanyiwa promo kwa wiki kadhaa sasa inatarajiwa kuanza kuonekana Alhamisi ya wiki ...


Show mpya ya TV iitwayo ‘Boys Boys’ ambayo  imekuwa ikifanyiwa promo kwa wiki kadhaa sasa
inatarajiwa kuanza kuonekana Alhamisi ya wiki  ijayo (May 22) kupitia TV One.
Mwisho Mwampamba ambaye amewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big  Brother Africa ndiye atakuwa akikiendesha kipindi  hicho. Boys Boys show itakuwa ikionekana kila Alhamisi kuanzia saa mbili kamili usiku. Tazama trailer

Related

TV SHOWS 5950045465346644198

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item