DISQUS SHORTNAME

BAADA YA FURAHA KUZIDI WEMA ATOBOA SIRI ZA NDANI ZADIAMOND

SIKU YA TUZO ZA KILI ILIKUWA SIKU YA FURAHA SANA KWA DIAMOND NA WEMA MAANAA YALIYO JIRI ILIKUWA NI FULL SHANGWE MBAYA, UNAJUA NINI SASA W...


SIKU YA TUZO ZA KILI ILIKUWA SIKU YA FURAHA SANA KWA DIAMOND NA WEMA MAANAA YALIYO JIRI ILIKUWA NI FULL SHANGWE MBAYA, UNAJUA NINI SASA WEMA ALIFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA DIAMOND?
HAHHAHAA NI SHEDAA COZ FURAHA NI FURAHA TUU BAADA YAFURAHA UZID WEMA ATOA SIRI ZA NDANI YEYE NA DIAMOND KUWA WANATAKA KUOANA NA NDIYO MKE MTARAJIWA WA DIAMOND

Related

HABARI YA MJINI 8453494594126287962

Post a Comment

  1. MAMBO JIPANGE HOPE UPO BOMBA KAMA BLOG YAKO NIITE RAIA MWEMA NAISHI SINZA JINSIA NI KIKE KAZI YANGU NAFUNDA WASICHANA WANAOTAKA KUOLEWA PIA NI MC WA KITCHEN PARTY KILICHONISUKUMA NIKUTUMIE SMS HII NI YAFUATAYO 1-SIJISIKII AMANI KUMFANYIA MTU MAMBO YASIYOFAA PASIPO SABABU 2-KESHO KUNA MUNGU ATANIHUKUMU NI HIVI KUNA MSANII ANAITWA IRENE YULE MTALAKA WA NDIKUMANA MARA KADHAA AMEKUWA AKINISUKUMA KUFUNGUA ACCOUNTS FAKE KWA AJILI UA KUMTUKANA MSANII MWENZIE WOLPER KIUKWELI NILIKUBALI KWA SABABU NILIKUWA NASHIDA YA PESA BAADA YA KUFANYA ALICHONIAGIZA AKAWA ANAENDELEA KUNITOA KIAINA BAADA YA MUDA AKANIAMBIA NIFUNGUE ACCOUNTS NYINGINE YA KUMTUKANA WEMA NIKAKUBALI ILA SIKUFUNGUA NIKATAKA KUJUA IWEJE ANITUME KUWATUKANA WENZIE KILA WAKATI/? NIKAAMUA KUCHUNGUZA KWA KARIBU NIKABAINI ANA WIVU WA HALI YA JUU NIKAANZA KUMPOTEZEA ALIPOONA SINA TIME NAE AKATAFUTA MTU ANIINGIE KIVINGINE NA NILIPOMPA NAFASI HUYO KIJUMBE NDIPO NIKASHIKWA NA BUMBUWAZI WAKATI HUU ALIMCHAGUA MWINGINE AMBAE PIA NI STAR WA MOVIE ANAITWA BATULI NIKAAMUA KUCHUNGUZA TENA KUPITIA WATU WAKE WA KARIBU NA KUPITIA KWA KIJUMBE ALIYEMTIMA KWANGU IWEJE NIMTUKANE MWENZIE WAKATI HANAGA SHIDA NA MTU/? NIKAGUNDUA YAFUATAYO KWANZA KAZIDIWA UZURI LA PILI MWENZIE ANA BAHATI YA KUPENDWA SIO KAMA YEYE AMBAE ANAJITONGOZESHA MWENYEWE SASA NIMEICHOKA TABIA YAKE NIMEAMUA KUUTUA MZIGO NINA USHAHIDI AKIBISHA UJUMBE WA SIMU NINAZO WANADAMU WABAYA SANA ILA IRENE WOYA KAZIDI ANA ROHO YA AJABU SANA NAOMBA USHAURI

    ReplyDelete
    Replies
    1. heheeeeee makubwa haya. 2dodose vizur bas. msema kwel ni mpenz wa Mungu.

      Delete
  2. Ww anony hapo juu muongo,acha kumchafua mwenzio!!irenehana ujinga huo

    ReplyDelete
  3. Acha uwongo tunataka ushahidi Irine hawezi kufanya hivyo

    ReplyDelete
  4. tuma screen shot za meseji kwa jipange tumpange mamae wivu mbaya mkundu wake

    ReplyDelete
  5. kama umeamua kusema basi naushahidi utoe utaaminika vipi

    ReplyDelete
  6. dont judge the book by ts cover, kwan kuna mtu aliwaza kuwa kajala atakuja mtenda wema?ila imetokea, so hakuna anayemjudge irene, n uyo dada kaamua kuwa mkwel, n kasema anaprove, let it out mama, achana n asiyekuamin, so long unaevidence, mrushie kamanda walimwengi watajua nn cha kuamini, ni kwel irene ni mtu mbaya au la,

    ReplyDelete
  7. tuma ushahid wote kwa jipange aeke mtu sawaa ...tutaaminijeee

    ReplyDelete
  8. Sis tunataka evidenc mtu anapangwa ata awe nani blabla bila ushahidi hiyooo kamanda hafanyi km unachuki zako binafsi na uwoya kamanda stajuaje so usituchoshe na gazeti weka ushahidi hadharani watu tufanye kazi yaani ukitoa ushahidi uliokamilika utafurahi yaani ss ni km mbwa hstufundishwi kubweka

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item