DISQUS SHORTNAME

Anayoyafanya Nisha MastaaWenzake Wengi Huwashinda !

 Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini  Salma Jabu Nisha hajulikani tu kwa kazi zake za filamu bali anajulikana pia kwa kujitoa kat...


 Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini  Salma Jabu Nisha hajulikani tu kwa kazi zake za filamu bali anajulikana pia kwa kujitoa katika matukio mbalimbali ya kijamii ikiwemo kusaidia  wasiojiweza na watoto yatima mara kwa mara  kitu ambacho hufanywa na wasanii wachache sana
. Jana katika msiba wa msanii mwenzake Adam Kuambiana, muigizaji huyo aliweka u-star  wake pembeni na kujitosa kupika maandazi
kama anavyoonekana pichani.

Related

BONGO MOVIE 5042556648429911238

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item