DISQUS SHORTNAME

ALIYEJIFANYA MGANGA WA DIAMOND LIMSHUKA SHUU!..ALIWAHI KUTABIRI KUWA DIAMOND HATOPATA TENA TUZO

Yule Mganga alioteka vyombo vya habari kwa kusema yeye ndio amempa diamond umaarufu na kwa kuwa diamond amemkana hivyo hatokuja kupata tuzo...

Yule Mganga alioteka vyombo vya habari kwa kusema yeye ndio amempa diamond umaarufu
na kwa kuwa diamond amemkana hivyo hatokuja kupata tuzo tena maishani mwake na Ndio mwisho wa Music wake Ameonekana Tapeli wa Kutupwa Watu wengi walimuamini yule mganga tapeli na wakasema ndio mwisho wa diamond kimuziki.
Diamond amezibitisha utapeli wa huyo mganga kwa kuchukua tuzo Saba katika Tuzo za KTMA zilizofanyika Juzi. Siri ya diamond ni kupiga kazi nzuri, menejimenti nzuri bila kusahau wema sepetu na diamond amekiri ilo.....Embu tutolee Mauganga yako hapa

Related

AIBU 6946064415123810680

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item