DISQUS SHORTNAME

Agnes Masogange Avishwa PeteYa Uchumba Ya Mil.16 Baada YaKudungwa Mimba.

Habari mpya ni kuwa Agnes Masogange ambaye  ni video queen maarufu nchini amevishwa pete ya uchumba yenye thamani ya shilingi mil.16 za ...


Habari mpya ni kuwa Agnes Masogange ambaye  ni video queen maarufu nchini amevishwa pete
ya uchumba yenye thamani ya shilingi mil.16 za  kitanzania. Habari zaidi zinadai kuwa
Masogange kwasasa ni mjamzito na alipoenda  S.Afrika hivi juzi kati kumuambia jamaa aliyempa
mimba kuwa ana ujauzito wake Jamaa huyo  alifurahi sana na kumvisha Masongange pete
inayoonekana pichani ambayo Agnes mwenyewe  aliweka picha hiyo katika mtandao mmoja wa
kijamii na kuandika maneno yasemayo "mama  kijacho".

Related

HABARI YA MJINI 5602914741364351639

Post a Comment

  1. Utulie sasa
    Name cyo uwe kunguru afugiki

    ReplyDelete
  2. KWEL WANAUME HAWASOMEKI KHAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. Hiyo tanzanite haijafikia Hiyo thamani ya milioni kuminatatu au alipigwa changa la macho nenda sea cliff maduka ya vito utaona ulofa wa masogange msituone wajinga vitu V ingine ni kazi zetu na thamani zake tunazijua. Khaaa,!!

    ReplyDelete

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item