Agnes Masogange Avishwa PeteYa Uchumba Ya Mil.16 Baada YaKudungwa Mimba.
Habari mpya ni kuwa Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu nchini amevishwa pete ya uchumba yenye thamani ya shilingi mil.16 za ...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/05/agnes-masogange-avishwa-pete-ya-uchumba.html
Habari mpya ni kuwa Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu nchini amevishwa pete
ya uchumba yenye thamani ya shilingi mil.16 za kitanzania. Habari zaidi zinadai kuwa
Masogange kwasasa ni mjamzito na alipoenda S.Afrika hivi juzi kati kumuambia jamaa aliyempa
mimba kuwa ana ujauzito wake Jamaa huyo alifurahi sana na kumvisha Masongange pete
inayoonekana pichani ambayo Agnes mwenyewe aliweka picha hiyo katika mtandao mmoja wa
kijamii na kuandika maneno yasemayo "mama kijacho".


Utulie sasa
ReplyDeleteName cyo uwe kunguru afugiki
KWEL WANAUME HAWASOMEKI KHAAAAAAA
ReplyDeleteHiyo tanzanite haijafikia Hiyo thamani ya milioni kuminatatu au alipigwa changa la macho nenda sea cliff maduka ya vito utaona ulofa wa masogange msituone wajinga vitu V ingine ni kazi zetu na thamani zake tunazijua. Khaaa,!!
ReplyDelete