Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake
Alikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa ‘Mwana’ ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake kati...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2015/01/picha-unawajua-watoto-wa-ali-kiba-kila.html
Alikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo
wa ‘Mwana’ ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake
katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.
“Nawapenda sana watoto wangu,” ameandika Kiba kwenye picha aliyoweka kwenye Facebook.
“Kingine ambacho kinabeba na kitaendelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote.”