NI YA WAZIRI WA MALI ASILI NA UTALII AU YA MCHEZA SHOO WA DIAMOND ?????
Inasemekana kua ndoa ya Lazaro Nyarandu ambaye ni waziri wa Maliasili na Utalii na mrembo Faraja Kota iko 'ICU'. Kwa mujibu wa...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2015/01/ni-mimba-ya-waziri-wa-mali-asili-na.html
Inasemekana kua ndoa ya Lazaro Nyarandu ambaye ni waziri wa Maliasili na Utalii na mrembo Faraja Kota iko 'ICU'.
Kwa mujibu wa chanzo makini kutoka katika familia ya Waziri huyo hapa Arusha kimehabarisha kuwa wawili hao (Lazaro Nyarandu na Faraja Kota) kwa sasa wametengana sababu ni kukosa uaaminifu kwa bwana Lazaro na sio mara ya kwanza ndoa hiyo kupata misuko suko nusura ya kuvunjika.
Kwa sasa Nyalandu yupo kwenye Hekalu lake Njiro Jijini Arusha na Faraja yupo kwa wazazi wake Dar es salaam.
Pia inasemekana Nyalandu anatuhumiwa kujirusha na vimada kwenye mahoteli makubwa hasa ya New Africa akiwa Dar es salaam ana hata nje ya Nchi.
Kilichotia nyongo zaidi ni tuhuma za hivi karibuni kuwa mimba ya Aunty Ezekiel ni yake huku mcheza show wa Diamond akitumiwa kama kivuli ili kuficha yanayoendelea na wawili hao wanaendeleza uhusiano huku wakitaraji mtoto wakati wowote.
Chanzo hicho kikaongeza kua Nyalandu kwa sasa anahaha kumtuliza mkewe kwa kila jinsi na aliwahi kumtumia ujumbe kupitia kipindi cha Clouds FM cha Leo tena kuwa anampenda sana na ni tulizo la roho yake yote ikiwa ni kutuliza machafuko yanayoendelea katika ndoa hiyo.
Pia anahaha kunusuru ndoa yake ili ajiweke vizuri katika nia yake ya kugombea Urais October 2015.

.jpeg)