DISQUS SHORTNAME

Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake

katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae. Ili...

katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae.

Ilifika muda Shilole akataka kuondoka lakini Mziwanda aka boyfriend wake akamgomea, Bibie akamlabua makofi na kuomba funguo ya gari,kabla ya Steve Nyerere kuwaamulia maana walishaanza kurushiana ngumi.


Sasa ni fundisho mkome kutembea na mama zenu, maisha wamejilia wapi Eda wanamaliza na nyie.Mbaya zaidi akamwamuru ampe funguo haraka sana.

Related

MITANDAO YA KIJAMII 2180479841657062849

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item