DISQUS SHORTNAME

Sheria Ngowi: Mbunifu wa mavazi Mtanzania anaemvalisha Kikwete na Pinda

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU  Jijini Dar es Salaam alipomtembe...

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU  Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali.
Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia) IKULU Jijini Dar es Salaam , Kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.

Related

FASHION COURT 6920612649137599385

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item