DISQUS SHORTNAME

Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn) Ilikua ni bir...

Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)

Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee  akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo...., nae bila hiyana alipoulizwa "Will you marry me" hakusita kusema "I will" Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinasema Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha WHAT LOVE IS...

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item