DISQUS SHORTNAME

CHID BENZ KIZIMBANI TENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jiji...

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kesi ya staa huyo imeahirishwa mpaka Januari 15, 2015 itakapotajwa tena.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item