DISQUS SHORTNAME

BINTI AUAWA KITUO CHA MOROCCO DAR KWA KUPIGWA RISASI AKIPITA BARABARANI

Bodaboda walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money; wakati wanaondoka wakawa wanapiga risasi ikampata huyu dada alikuwa anaji...

Bodaboda walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money; wakati wanaondoka wakawa wanapiga risasi ikampata huyu dada alikuwa anajipitia barabarani hajui hili wala lile.Dada anaitwa Glory ni graduate wa Ardhi University 2012.Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amen.R.I.P

Related

HABARI YA MJINI 677269838255410679

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item