DISQUS SHORTNAME

BAADA YA PAGE YA DAVIDO KUSHAMBULIWA INSTAGRAM KWA MATUSI KIBAO CHAGEUKIA PAGE YA BIG BROTHER TANZANIA FANS

 Ikiwa bado watanzania na mashabiki wa BIG BROTHER AFRIKA hawajasahau walipotafsiri maneno aliyoandika msanii maarufu Afrika Davido ...

 Ikiwa bado watanzania na mashabiki wa BIG BROTHER AFRIKA hawajasahau walipotafsiri maneno aliyoandika msanii maarufu Afrika Davido "They Cheat again" kua Tanzania walichiti na kupata ushindi wa BIG BROTHER bila kustahili,mapema leo huko instagram ilirushwa post ambayo ilishukuru watu wachache kwa kuwataja majina na kuwa 'tag' kwa account zao kumezua zogo na kauli kali kua page hiyo imedharau watu wengi waliokesha usiku na mchana wakimpigia kura mshiriki wa shindano hilo kutoka Tanzania hatimaye kuibuka na ushindi.Mashabiki hao walitaka page hiyo ya instagram isiwataje watu kwa majina bali ishukuru kwa ujumla kama watanzania wote ambapo tayari ilikua imefanya hivyo.



Related

STORY ZA KITAA 6930347197199942861

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item