DISQUS SHORTNAME

Ray: Chuchu ndo kila kitu kwangu

LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘ Ray ’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa , Chuchu Hans ndiye ...


LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘ Ray ’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa , Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni ndoa tu .

Akizungumza na paparazi wetu, Ray alisema licha ya kupitia katika changamoto nyingi za mapenzi lakini kwa Chuchu amefika na haoni tabu kujinadi kwa mtu yeyote juu ya penzi lake hilo.

“Chuchu ndiye kila kitu kwangu , tunaendana kwa kila kitu hivyo nitakaowaudhi kwa kumpenda yeye, wanisamehe , ” alisema Ray .

Ray kabla ya kuwa na Chuchu, kwa nyakati tofauti alikuwa akitajwa kushea penzi la mwigizaji Ruth Suka ‘ Mainda ’ na Blandina Chagula ‘ Johari’

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item