Picha: Diamond atua kwenye studio za Universal Music, AY amtabiria kuchukua tuzo 2 #CHOAMVA14
Pamoja na timu yake, awamu hii Diamond amesafiri na mama yake pia Diamond Platnumz anawania vipengele vinne. Mshindi wa zama...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/11/picha-diamond-atua-kwenye-studio-za.html
Pamoja na timu yake, awamu hii Diamond amesafiri na mama yake pia
Diamond Platnumz anawania vipengele vinne. Mshindi wa zamani wa tuzo hizo, AY ametabiri kuwa Diamond anaweza kuibuka na tuzo mbili.
“Kila la kheri @diamondplatnumz kwenye Tunzo Za @channeloafrica leo na hisia utabeba mbili,” ameandika AY.
Katika hatua nyingine, staa huyo alienda kwenye studio za moja ya label kubwa zaidi duniani, Universal Music.





