DISQUS SHORTNAME

MAIMARTHA ‘AWADIS’ WANAOTOKA NA SERENGETI BOYS

Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amewaponda mastaa wa Bongo Muvi wanaotoka kimapenzi na vijana wadogo ‘Serengeti Boys’...

Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amewaponda mastaa wa Bongo Muvi wanaotoka kimapenzi na vijana wadogo ‘Serengeti Boys’ akidai kuwa wanajichoresha.

Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse.

Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Mai alisema anawashangaa baadhi ya mastaa hao kutoona aibu kutangaza kuwa wanatoka na Serengeti Boy huku wakionekana maeneo mbalimbali wakiponda raha.

“Mimi mpaka naogopa na nawaonea huruma kwani hali ni mbaya jamani, watoto wadogo wanatoka na wasanii waliowazidi sana kiumri, yani imekuwa ni kama fasheni sasa, huku ni kujichoresha,” alisema Mai.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item