DISQUS SHORTNAME

Lundenga Kikaangoni Tena: Sitti ashindwa Kurudisha Zawadi Zote Alizopewa

Lundenga na Kampuni yake ya Urembo matatani tena baada ya Basata kuhoji kwanini Sitti Mtemvu Bado Hajarudisha zawadi zote alizoshinda Kat...


Lundenga na Kampuni yake ya Urembo matatani tena baada ya Basata kuhoji kwanini Sitti Mtemvu Bado Hajarudisha zawadi zote alizoshinda Katika Mashindano hayo ya Urembo..
Basata Imesema Sitti inaitajika kurudisha zawadi zote alizoshinda kuanzia Miss Temeke, Miss Changombe na Miss Tanzania 2014 kwa vile huko pote alishiriki huku amedanganya Umri ..

Related

HABARI YA MJINI 4516759297354285874

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item