Kingine alichoandika Sitti Mtevu leo
Ni siku ya tatu toka Sitti Mtemvu kulivua taji la Miss Tanzania alilotangazwa mshindi baada ya kuandamwa na baadhi ya Watanzania ambao hawa...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/11/kingine-alichoandika-sitti-mtevu-leo.html
Ni siku ya tatu toka Sitti Mtemvu kulivua taji la Miss Tanzania alilotangazwa mshindi baada ya kuandamwa na baadhi ya Watanzania ambao hawakukubaliana na ushindi wake ambapo baada ya kulivua taji hilo Sitti amekua na time ya kuandika machache kwenye page yake ya twitter.
Siwezi kuwazuia watu kuongea lakini naweza kujizuia kuzungumza — Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu) November 10, 2014
— Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu)November 9, 2014 Usihofie kuhusu maisha yangu, hofia kwanini unahofia maisha yangu
