DISQUS SHORTNAME

IJUE THAMANI YAKO KAMA MWANAMKE AU MSICHANA

Ukitizama vitabu vitakatifu vya dini zote vimemtaja mwanamke kama kiumbe mwenye nguvu anaeweza fanya mambo makubwa,Biblia ikaenda mbali z...


Ukitizama vitabu vitakatifu vya dini zote vimemtaja mwanamke kama kiumbe mwenye nguvu anaeweza fanya mambo makubwa,Biblia ikaenda mbali zaidi na kukiri kua mwanamke ni jeshi kubwa !!! Ukitizama mambo makubwa na mazito yanayoiendesha Dunia mengi ukifatilia source ni mwanamke.
 Thamani ya mwanamke ni kubwa sana kuliko unavyoweza fikiria,nguvu na uwezo wa mwanamke ni kubwa kuliko jeshi lolote la kibinadamu.Baadhi ya viongozi wakubwa wa kijeshi walipokua wakitaka kushinda vita ngumu waliwatanguliza wanawake wazuri mbele na walifanikiwa mara zote. Mwanamke unaweza mfanya mwanaume akafanikiwa na kua bilionea ama akawa maskini kuzidi matonya!!
 Mwanamke ana nguvu ya ajabu inayoamsha ari na nguvu na uwezo mkubwa kwa mwanaume wa kufanya mambo makubwa. Falme kubwa katika Biblia ziliangushwa na wanawake na kubaki ni historia.Mwanamke una uwezo wa kupata unachotaka mda wowote bila kudhalilisha utu wako iwapo tu ukiweza kuitumia nafasi yako uliyopewa na Mungu aliekuumba.
Ulitajwa kama msaidizi wa Adam katika bustani ya Edeni means kua kuna mahali huyu Adam anafika anakwama,anahitaji external force ya kumboost ama kwa maneno ya faraja,au kumfanya aone kitu anachokitizama si kikubwa kama nguvu aliyonayo...mwanaume akifika hatua hiyo akili yake humkaa sawa na kufanya kazi kama mashine ,jua hilo kuanzia sasa....na akifanya kazi kama mashine he become fuckin don in town !!! siku ukimwacha he loose focus. Una nafasi kubwa ya kubadilisha fikra na mtazamo wa maisha ya mwenzi wako haijalishi mko katika hali ipi,anachotakiwa ni kukupa nafasi na kukusikiliza.Wanaume wengi ni wabishi na wakati mwingine hawataki kuwasikiliza wenzao hata kama hawako sahihi,ubabe na kujifanya kuweza wakati umekwama ndicho kilichowajaa kichwani.Lakini laiti wanaume wangejua kile kilichopo ndani ya mwanamke wange dig deep hayo madini na kuyatumia ipasavyo. Hebu kwanza usishangalie kwa sababu we ni mwanamke.....kwa mwanamke ili ue hivo lazima ue unajitambua kuna wanawake hawajitambui yeye anawaza kuolewa na kuzaa tu yaaaakhhh.....you are worth more than that gal wake up.....!!!!

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item