DISQUS SHORTNAME

HELIKOPTA YA GWAJIMA YAZINDULIWA JANA

Rubani wa helikopta hiyo akijiandaa kuirusha helikopta hiyo. Helikopta ikiwa hewani. Hapa ikijiandaa kutua. Helikopta ya Mchungaji wa Kani...


Rubani wa helikopta hiyo akijiandaa kuirusha helikopta hiyo.Helikopta ikiwa hewani.Hapa ikijiandaa kutua.

Helikopta ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima imezinduliwa jana hii katika viwanja vya Tanganyika Packers, vilivyopo Kawe jijini Dar na kuhudhuriwa na maaskofu wa makanisa mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo nchini.

Uzinduzi huo pia uliohudhuriwa na Mbuge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye alikuwa ndiye mgeni rasmi wa uzinduzi huo ulioendana na kukata utepe kisha kuirusha helikopta hiyo hewani kama ishara ya kuanza rasmi kazi yake ambayo ni kutoa msaada wa usafiri wa haraka wakati wa dharura na kuhubiri injili kupitia helikopta hiyo.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item