DISQUS SHORTNAME

Dada wa Siwema "Shemeji yake Ney wa Mitego" azichapa kavu kavu mchana kweupeee LIVE

Haijafahamika mara moja kisa cha ugomvi ni nini,kamera ya Gossip Court ilimnasa shemeji wa msanii maarufu wa bongo flava N...







Haijafahamika mara moja kisa cha ugomvi ni nini,kamera ya Gossip Court ilimnasa shemeji wa msanii maarufu wa bongo flava Ney wa Mitego anaejulikana kwa jina la mama Kelvin au Mage ambae ni dada wa mchumba wake Ney wa mitego Siwema, katikati ya mitaa ya jiji la Mwanza akikunjana na mwanaume ambae hakufahamika mara moja huku mume wake nae akiwa eneo la tukio akimsaidia bi shosti

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item