DISQUS SHORTNAME

AUDIO:SIKILIZA KUHUSU DIAMOND NA ZARI THE BOSS LADY KUTOKA U HEARD

Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown alifanikiwa kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard. Kutokana na kwamb...


Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown alifanikiwa kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.
Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond ampe story kamili.
Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana, majibu ya Diamond yameonyesha hawako pamoja na kuzitaja baadhi ya sababu zilizopelekea kutokea hilo, ikiwa ni pamoja na zawadi ya gari aina ya BMW ambalo anadai Martin Kadinda hawezi kumpa, pamoja na safari za Wema China ambazo anadai kuna mtu mwingine aliyekuwa anazifadhili.
Diamond hajazungumza chochote kuhusu yeye na Zari the Boss Lady.
Kuisikiliza U Heard bonyeza play hapa.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item