DISQUS SHORTNAME

SHANGWE ZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA USIKU HUU

Msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA akifanya yake usiku huu. Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta Leaders Club.  Mwa...


Msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA akifanya yake usiku huu.

Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta Leaders Club. 

Mwana FA akilinogesha jukwaa la Fiesta.

Wasaniiwa Ya Moto Bandwakifana yao.

Rapper Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta.

Mkali kutoka Morogoro Stamina akitoa burudani.

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item