LORA, H-BABA WAMFUNIKA WEMA KWA MJENGO
HESHIMA! Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga gho...
HESHIMA! Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa.
Mjengo wa wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’
Akizungumzia mjengo huo walioupanga maeneo ya Mbezi-Jogoo, jijini Dar, H. Mama alisema yeye na mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.
Flora Mvungi ‘H.Mama’ akiwa ndani ya mjengo hup na familia yake.
“Hatushindani na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo,” alisema Flora.Wema amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar.

jamani mmh sasa tena wema katokea wapi?waandishi wanakuwaje jamani mbona kama wanaleta uchochezi,na kwanini awe wema na sio kulinganishwa na mtu mwingine duh mnapoelekea sasa waandishi too much.
ReplyDeleteduuuuuh huko n kufuja pesa waache kupangisha wanunue nyumba waache ufala
ReplyDelete