video:Chid Benz Asomewa Mashitaka,Arudishwa Rumande.
Rapper Chid Benz mchana huu amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni 1. Kukutwa n...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/10/chid-benz-asomewa-mashitakaarudishwa.html
Rapper Chid Benz mchana huu amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni
1. Kukutwa na dawa za kulevya
2. Kusafirisha dawa ya kulevya
3. Kukutwa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11 ambapo ataletwa tena kizimbani.Dhamana itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika na pesa taslimu milioni 1.