MTOTO AUWAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI NA PUANI
KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa h...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/06/mtoto-auwawa-kwa-kufungwa-plasta.html
KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa hali juu kwa kumuua mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara ya kwenda Kawe- Beach.
Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye jinsi ya
kike akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na puani .