DISQUS SHORTNAME

MTITU AMPA MAKAVU JB

KATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect , William Mtitu amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘ ...


KATIKA hali ya kushangaza msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect , William Mtitu
amemchana live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘ JB ’ baada ya kutoa mchango mdogo kwenye msiba wa Sheila Haule ‘ Recho ’ .
Akizungumza msanii mmoja wa filamu ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini , alisema katika kutoa michango ya msiba wa Recho ilifika zamu ya JB ambapo alichangia elfu hamsini jambo ambalo lilimkera Mtitu na kuanza kumchana live . Baada ya kuzinyaka habari hizo , paparazi wetu alimuuliza Mtitu kulikoni ambapo alikuwa na haya ya kusema : “Ukweli iliniuma sana ndiyo maana nikaamua kumchana JB mbele za wasanii yaani msanii mkubwa kama yeye na analipwa vizuri lakini anakuja kutoa shilingi elfu hamsini hii siyo sawa japo alikasirika lakini ujumbe ulifika

Related

BONGO MOVIE 6661855391770229028

Post a Comment

Comment zako Kuhusu hii stori

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

item