MMOJA WA WANAOLAWITI WANAUME ARUSHA ANASWA.........
Mmoja wa watuhumiwa wa kundi linaloendesha mfululizo wa matukio ya kulawiti wanaume katika kijiji cha Chekereni nje kidogo ya Jiji la Ar...
https://mirindimoyapwani.blogspot.com/2014/06/mmoja-wa-wanaolawiti-wanaume-arusha.html
Hii inafuatia maandamano kwenda ofisi ya RCO kutozaa matunda. Wananchi wameazimia kufanya msako mkali ili kukomesha vitendo hivyo.. Mpaka sasa ni wanaume wengi wamelawitiwa kijijini hapo na baadhi wamelala hawawezi kutembea...

